Mauzo
Kompyuta mpya, vichapishi, mashine za photocopy, vifaa vya mtandao na vifaa vya matumizi kwa watu binafsi, biashara na taasisi. Oda kubwa na za makampuni zinakaribishwa.
Omba bei- Kompyuta, kompyuta mpakato na tablet
- Vichapishi, skana na mashine za photocopy
- Vifaa vya mtandao na vifaa saidizi
- Vifaa vya ofisi na vya matumizi
- UPS na umeme wa akiba
